Mark 4:33-34

33 aKwa mifano mingine mingi kama hii Isa alinena nao neno lake, kwa kadiri walivyoweza kulielewa. 34 bHakusema nao neno lolote pasipo mfano. Lakini alipokuwa na wanafunzi wake, aliwafafanulia kila kitu.

Isa Atuliza Dhoruba

(Mathayo 8:23-27; Luka 8:22-25)

Copyright information for SwhKC